July
Kampeni maalum kwaajili ya kuhimiza usafi wa mazingira
Aug
Kikao cha dharura cha wanajumuiya kinatarajiwa kufanyika
Sept
Mkutano wa mwisho wa kufunga mwaka, utajadili maendeleo na changamoto mbalimbali
Leo tulipata nafasi ya kufanya usafi wa mazingira katika jiji la Dar es Salaam
Umoja wa vijana leo umeweza kuchangia damu katika hospitali mbalimbali
Siku ya leo tumeanza riara ya kutembelea mbuga za wanyama za ndani ya nchi
Nia na uwezo wa CCM wa kuendeleakuongoza Taifa hili unajidhihirisha katika uzoefu ambao tumeupata kwa miaka 38 tangu kuanzishwa kwake na kuwa madarakani, ambapo katika kipindi chote hiki kimeiwezesha nchi yetu kupata mafanikio makubwa katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Katika kipindi cha miaka mitano (2015-2020),CCM ikiwa madarakani,imezielekeza Serikalizake kutumia nguvu zake zote kuendelea kupambana na kufanikiwa kwa asilimia kubwa katika changamoto kubwa nne: -Kwanza kuondoa umaskini; pilikupunguza tatizo la ukosefu wa ajira hasa kwa vijana; tatukuendeleza vita dhidi ya adui rushwa na ubadhirifu wa mali ya umma; na nnekuendelea kudumisha amani, ulinzi na usalama wa maisha ya wananchi na mali zao.
Baadhi ya miradi ya maendeleo iliyo tekelezwa na inayoendela kutekelezwa na serikali ya wamu ya tano ya chama cha mapinduzi ikiongozwa na Mh. Rais John Pombe Magufuli
Baadhi ya vijana walio eteuliwa kushika nyadhifa mbalimbali serikalini na Mh. Rais Katika awamu ya tano ya uongozi
Baadhi ya miradi ya maendeleo iliyo tekelezwa na inayoendela kutekelezwa na serikali ya wamu ya tano ya chama cha mapinduzi ikiongozwa na Mh. Rais John Pombe Magufuli
Miradi ya maendeleo
Kampeni Mbalimbali
Vijana Kwenye Uongozi
Miradi ya Vijana
Baadhi ya kampeni tulizozifanya hivi karibuni kwa tutembelea maeneo tofauti tofauti katika nchi yetu, kwa kuchangia damu, kufanya shughuli za kijamii, kutembelea mbuga za wanyama nakadhalika.